Mtoto Yesu…Masihi! ni kitabu cha kwanza cha Honeycomb Adventures ambacho kimetafsiriwa kwa Kiswahili.
Baby Jesus . . . Messiah! is the first Honeycomb Adventures Press book that has been translated into Swahili.
Yona, Nabii Mwoga ni kitabu cha pili cha Honeycomb Adventures ambacho kimetafsiriwa kwa Kiswahili.
Jonah, the Fearful Prophet is the second Honeycomb Adventures Press book that has been translated into Swahili.
Neno la Siri / Swahili Links
Link za Kiswahili zitakupeleka katika kurasa za kupaka rangi ambazo zinakuwa na vitabu vilivyotafsiriwa kwa Kiswahili. Katika faili utakazopakua kutakuwa na maelekezo zinazokuelekeza namna ya kutumia kurasa hizi za kupakia rangi ili kutengeneza block za vitambaa vya urembo vya Biblia vya picha. Link zingine za muhimu zinaweza pia kuongezwa katika ukurasa wa link za Kiswahili. | Swahili Links takes you to coloring pages that go with the books translated into Swahili. Included in the downloadable files are instructions that tell how to use these coloring pages to create quilt blocks for a Bible quilt with the pictures. Other useful links may also be added to the Swahili Links page. |
Je, unaweza kusaidia? Can you help?
Vitabu hivi vimetafsiriwa, kuchapishwa, na kutumwa katika miradi ya utumishi katika nchi zinazozungumza Kiswahili barani Afrika baada ya ufadhili kupatikana. Hili ni jaribio kuona kama huu ni mradi wa huduma tunaoweza kuuendeleza. | These books are being translated, printed, and sent to mission projects in Swahili speaking countries in Africa as funds become available. This is a test to see if it is a ministry project that we can maintain. |
Jibu kwa Kiingereza kama unaweza. Kama utahitaji kututumia ujumbe kwa Kiswahili, tutawasiliana na mkalimani wetu kwa msaada. Nafasi tatu chini ni kwa ajili ya jina lako, barua pepe yako, na ujumbe wako. | Respond in English if you are able. If you need to message us in Swahili, we will contact our translator for assistance. The three windows below are for your name, your email, and your message. |